Bunge limeshindwa kupitisha Muswada wa sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali (Na. 2) wa mwaka 2018 [The written laws (Miscellaneous Amendments) (No.2), Bill, 2018] kutokana na kutotimia kwa akidi ya Wabunge na hatimaye mwenyekiti wa Bunge Najma Giga kulazimika kuhairisha kikao cha Bunge hadi September 10, 2018 baada ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee kuomba utaratibu wa kiti kuhusu utaratibu.
Waziri Mwijage ahojiwa Bungeni sakata la Sukari ya Zanzibar