Mkuu wa wilaya ya Chemba mkoani Dodoma Simon Odunga amemsimamisha kazi Mwenyekiti wa kijiji cha Olboleti wilayani humo Abdallah Suti kwa tuhuma za kutosoma taarifa za mapato na matumizi kwa wananchi wa kijiji hicho kwa zaidi ya miaka miwili huku akimtaka kukabidhi ofisi ndani ya siku saba ili kupisha uchunguzi dhidi yake.
Zilivyopokelewa salamu za Rais Magufuli Jimboni kwa Mwigulu Nchemba