Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dr Faustine Ndugulile amesema Serikali imepanga kuanza kuwafuata watu katika maeneo ya mkusanyiko ikiwemo baa ili kuwapima magonjwa ya UKIMWI na TB hususani Wanaume hivyo watu wasishangae watakapoona utaratibu huo ukifanyika.
Ukweli kuhusu kilichosababisha kifo cha msanii Jebby