Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mbeya kimewavua uanachama Madiwani wake watatu kwa makosa yanayodaiwa kuwa ni utovu wa nidhamu baada ya kukubali mwaliko wa Naibu Spika Dr Tulia Ackson wa kwenda Bungeni Dodoma pamoja na kukiuka barua za wito walizopewa.
Mwenyekiti wa Wilaya ya Mbeya Mjini CHADEMA Obadia Mwaipalu amezungumza na Waandishi wa Habari leo.
Kangi Lugola na IGP Simon Sirro wakutana uso kwa uso