Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, amezindua mpango maalumu wakuwatambua wanachama wa chama hicho ikiwa ni pamoja na kutengeneza kadi za kieletroniki zitakazoweza kuwatambua wananchama pamoja nakuanza mkakati wakujenga ofisi za chama hicho kwa kanda ya kaskazini