Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekanusha taarifa zinazoendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii zikidai uwepo wa Askari waliodaiwa kwenda kwenye vijiji 14 vilivyoko maeneo ya Loliondo kuwaondoa wafugaji na kuvunja vijiji hivyo kwenye eneo hilo.