Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu kutangazwa kuibuka tena kwa ugonjwa wa Ebola kwa mara ya kumi mfululizo, Serikali ya Tanzania kupitia kwa Mkurugenzi wa huduma za kinga Wizara ya Afya Dkt. Leonad Subi imetoa tahadhari kwa wananchi kuacha utamaduni wa kukumbatia na kubusu maiti ili kuweza kujiepusha na maambukizi ya ugonjwa huo.
Serikali ya Tanzania ya ujibu Ubalozi wa Marekani