Wataalamu wa upimaji ardhi jijini Dodoma kwa kushirikiana na Serikali wameanza zoezi la urasimishaji wa ardhi zaidi ya hekari 400 kufuatia kukithiri kwa migogoro hiyo na mipaka katika maeneo mbalimbali kutokana na kucheleweshwa kwa upimaji ardhi tangu wananchi wake walipoanza kumiliki maeneo hayo kwa hati za kimila.
RC Mpya kawasimamisha kazi wawili kwa ubadhilifu wa Tsh milioni 690