June 25, 2018 Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari amelieleza Bunge kuwa kwa kitendo cha Serikali kushindwa kutoa asilimia 65 ya fedha za ushuru wa mauzo ya zao la koroshonje ya nchi nkiasi cha shilingi bilioni 210 ni kitendo cha wizi kwakuwa kinagfanyika kinyume cha sheria.
“leo hii tunaongelea Serikali ya viwanda, sheria ya export levies ilikuwa na lengo la kuongeza uzalishaji wa korosho zetu ndani ya nchi sasa badala yake Serikali inaiba ela za wanaanchi, huu ni wizi hakuna lugha nyingine” –Joshua Nassari
Usafirishaji wa mizigo kwa treni umeanza rasmi bandari ya Mwanza South