The Runners Club ambao ni waandaji wa mbio mbalimbali wametangaza Mbio za Usiku walizozipa jina la “DAR NIGHT RUN” kwa awamu ya 7 zenye lengo la kujenga ya afya mwili na kuburudisha watu wanaofanya mazoezi
Akizunguza na waandishi waandishi Msemaji wa The Club Runners Godfrey Mwangungulu, amesema mbio hizo zinatarajiwa kukusanya watu 1200 na zitafanyikatarehe 31 Agost kuanzia saa nne mpaka saa sita usiku katika viwanja vya Police mess jijin Dar es salaam.
“Hii ni moja ya sikukuu kubwa sana ya mbio ya kipekee ambayo inafanyika usiku na hakuna mbio nyingine ambayo inafanyika usiku kwa hapa Tanzania, na limekuwa tukio kubwa sana linalovutia watu wengi hapa Tanzania” amesema.
Ameongea kuwa mbio zitanzia kilometa 10 mpaka kilometa 15 ambapo kwa mtu ambaye anataka7 kujisajili kwenye mbio hizo anaweza kufuatilia mtindao yao ya kijamil ya Tha Runners Clun kwa kupata taarifa zaid n kuweza kujisajili kupitia website yao kwa shilingi 45000.
Aidha amesiitiza kuwa kutakuwa na usalma wa kutoshakwenye mbio hizo za kwakuwa zinafanyika katika eneo la polisi na usalama utakuwepo wa kutosha kwenye sehem mbazo watu watakuwa wanakimbia.