Dar Es Salaam ni moja kati ya miji 10 inayoongoza kwa kuishi watu wengi barani Afrika, serikali nayo imeamua kuboresha miundombinu ili kuendana na idadi ya watu waliopo. Najua wengi wetu tumezoea kuona daraja la Manzese ndio pekee lilikuwa kubwa kwa ajili ya kivuko cha watu kabla ya daraja la Kimara na Ubungo.
Usiku wa March 15 nilipata nafasi ya kupiga picha za ujenzi wa daraja la Buguruni, ambalo nalo linatajwa kujengwa kwa ajili ya kivuko cha watembea kwa miguu, kwani idadi ya watu eneo hilo imekuwa kubwa. Hizi ni pichaz za ujenzi huo.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE