Baada ya video mbalimbali kusambaa katika mitandao ya kijamii zikionesha watu wakindamana katika kituo cha Mabasi ya mwendokasi Kimara, Mkurugenzi wa kitengo cha Habari UDART Deus Bugaywa amezungumza tatizo lililopo kwenye usafiri huo.
Amesema mvua zilizonyesha May 4 2018 ndizo zilizoleta madhara kutokana na eneo kuu la maegesho Jangwani kujaa maji na matope jambo lililosababisha kukwama kwa magari na shughuli nyingine kushindwa kuendelea kufanyika.
VIDEO FUPI: SIMBA ALIVYOMSHAMBULIA MZEE ALIEMSOGELEA
https://www.youtube.com/watch?v=b2-_ZCtJvPA