Huku Dunia ikiendelea kukabiliana na janga la Virusi vya Corona, Marekani imetangaza kuanza kutoa dawa mpya inayolenga kusaidia waathirika wa ugonjwa wa homa ya mapafu (COVID-19).