Hafidh Damson Masokola (57) mkazi wa Tabora miaka 10 iliyopita inasemekana aliugua Malaria na kutumia dawa aina ya Metakelfine hiyo ilipelekea mabadiliko yaliyomfanya kuwa mtu mwenye Ualbino na uchunguzi wa Madaktari ulithibitisha kuwa mwili wake una wingi wa madini ya Sulphur.
JAMAA KAUA WATU WAWILI KWA KUWACHARANGA MAPANGA “WALIKUWA WANAMDAI SIMU”