Na katika Uzinduzi huo wa Documantary ya Mabingwa hao wa Soka leo pia wametangaza hafla hiyo itahudhuriwa na Mhe. Halima Bulembo, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni siku ya Jumatatu Agosti 7, 2023 katika Kumbi ya Century Cinemax iliyopo Dar Free Market jijini Dar es Salaam.