Ni July 13, 2016 ambapo Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Gabriel Robert amemaliza mgogoro wa ardhi kati ya mwekezaji na wananchi mkoani Tanga.
‘Kulikuwa na mgogoro kati ya wakulima ambao wapo kwenye mashamba ya mikonge na wawekelezaji ambapo hukumu ya Mahakama iliamuru wale wananchi ambao wapo kwenye makazi ya mikonge nyumba zao ziondolewe na kubomolewa, sasa nikaona nizungumze na muwekezaji pamoja na hao wananchi kumaliza mgogoro huo’- Gabriel Robert
ULIIKOSA HII YA PAUL MAKONDA AMEMUAPISHA MKUU WA WILAYA YA UBUNGO HUMPHREY POLEPOLE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA