September 7, 2018 Wabunge mbalimbali wakiwemo wawakilishi kutoka Zanzibar walisimama Bungeni kuhoji Serikali kuhusu zuio la sukari ya Zanzibar kuingizwa Tanzania bara ambapo miongoni mwa waliopata nafasi hiyo ni Mbunge Jaku Ayub ambapo Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage akalazimika kusimama na kuyatolewa ufafanuzi maswali hayo.
Chozi la Mkurugenzi baada ya Mbunge wa Chadema kumchongea kwa JPM