Soka ni mchezo unaopendwa sana duniani, lakini pia ni moja kati ya michezo yenye changamoto kubwa sana katika kuucheza, mara nyingi ili uweze kucheza vizuri ni lazima uwe tayari kimaandalizi ya mazoezi, kiafya, mwili na akili. Haya ni matukio yaliowahi kutokea miaka ya nyuma katika soka, kiukweli hayawezi kusahaulika kutokana na uzito wa matukio yenyewe, yamepelekea vifo vya wanasoka mahiri kama Marc-Vivien Foe na wengineo. Nimekutana na video ya kumbukumbu ya matukio 9 yaliowahi kuchukua uhai wa wanasoka uwanjani
https://youtu.be/MJivUab5P-M
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwapia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagramna YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.