Ni Halima Mbwana ambae aliwahi kuingia katika vichwa vya habari baada ya kupata ajali katika basi alilokuwa akiliendesha la kampuni ya Super Feo kisha kupelekea kukatika Mkono wake.
Sasa leo Julai 19, 2023 ameimbia Millardayo.com & Ayo TV namna Serikali ilivyomsaidia ama kufanikisha kupata Mkono bandia wa Umeme ambao utamsaidia katika shughuli zake.