Ikiwa ni Aprili 25, 2019 Zuch Zuchero kaingia mtaani leo akiibukia maeneo ya Mbagala Zakhiem ambapo amekutana na wadau akiwa na swali matata; Ikitokea siku umenunua zawadi kwa ajili ya mkweo bila kujua umeibeba hiyo zawadi na kumpelekea kwake kumbe umechanganya na Nguo ya Kubadirisha Muonekano wa Maumbile kwa wanake ‘Kigodoro‘ na kumpatia mkweo, kisha akakuuliza mkwe umeniletea mimi hiki, ingekuwa wewe ungefanyaje…?