Leo May 5, 2018 nchi ya Ujerumani wanaadhimisha kwa maandamano katika mji wa Trier miaka 200 ya kuzaliwa kwa Mwanafilosofia maarufu wa nchini humo Karl Marx ambaye ndiye muasisi wa nadharia ya ukomunisti.
Katika uzinduzi wa maadhimisho hayo uliofanyika jana May 4, 2018 ambao uliongozwa na Rais wa Tume ya Umoja wa Ulaya Jean-Claude Juncker.
Kwenye hotuba yake ya ufunguzi Juncker alisema “unapaswa kumuelewa Karl Marx katika wakati wake, Marx hawezi kuwajibishwa kutokana na uhalifu uliotendwa na wafuasi wake muda mrefu baada ya kifo chake mwaka 1883.“
Mtoto asimama kumuelezea Rais Magufuli tatizo lao, apewa MILIONI 3