Ni Dj Joozey ambae wiki kadhaa zilizopita alimiliki vichwa vya habari baada ya kutumbuiza na kuwaburudisha Wanigeria huko nchini Nigeria.
Sasa habari njema nyingine ni kwamba ameutangazia umma kupitia ukurasa wake wa instagram kuwa anatarajia kuachia wimbo wake mpya aliomshirikisha Dj Tárico, Marioo na Mtayarishaji Abba.
Hii itakuwa ni single yake ya pili baada ya kuachia ile collabo yake na Harmonize iitwayo Namficha.
Kama wewe ni shabiki wa Dj Joozey kaa tayari kwa ujio wa collabo nyingine ya pili aliyomshirikisha Marioo & Dj Tarico na Mtayarishaji Abbas.