Headlines za Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutangaza kufanya maandamano ya nchi nzima Septembe 1 2016, zimewagusa wasanii wa filamu ambapo leo walikutana kujadili wanaojihusisha na ‘UKUTA’.
‘Tumekutana hapa wasanii Amani yetu nchi yetu bila Amani msanii hawezi kufanya muziki wa Bongo Fleva, hawezi kufanya muziki wa Hip Hop wala muziki wa Dancer, kwahiyo tumeamini kwamba msanii ni kioo cha jamii anaweza kufikisha ujumbe kwa jamii hususani vijana’
‘Kwa maana hiyo tarehe 1 Sept kuna kitu kinaita UKUTA kwahiyo leo tumekutana kujadili kuwataka wananchi wasivunje Amani ya nchi yetu ya Tanzania, mimi nadhani Mama yangu, kijana, rafki yangu ni jukumu letu la kuwwakumbusha vijana majukumu tunayotakiwa kuyafanya katika nchi yetu na kuachana na UKUTA’-
UNAWEZA UKABONYEZA PLAY KUONA ALICHOKIZUNGUMZA STEVE NYERERE KUHUSU MAANDAMANO SEPT 1, 2016
ULIKOSA YA KINGUNGE NGOMBALE MWIRU KUHUSU UKUTA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA