Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde alipata nafasi ya kuchangia katika bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017, moja ya vitu ambavyo alivipa kipaumbele katika mjadala wake ni pamoja na kitendo cha wabunge wa upinzani kuendelea kutoka nje ya bunge kuonyesha kutokuwa na imani na naibu spika Dk. Tulia Ackson
ULIIKOSA HII? ACHA WABUNGE WALIVYOCHEKA LAKINI GOODLUCK MLINGA KAFIKISHA UJUMBE WAKE BUNGENI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE