Mkemia Mkuu wa Serikali Prof. Samwel Manyele kwenye exclusive interview na Ayo TV na millardayo.com ameeleza kuhusu utaratibu wa kipimo cha DNA kitakachotumika kubaini waliowapa mimba wanafunzi ambapo sampuli za watuhumiwa zitachukuliwa.
Mkemia Mkuu amesema tayari utaratibu huo umeanza na wameanza na wilaya ya Kiteto, unaweza kubonyeza play hapa chini kuitazama hii video
Kwanini kwenye kesi za uchochezi wanapimwa mkojo? Mkemia Mkuu kajibu, Bonyeza play hapa chini kutazama