Serikali kupitia Naibu Waziri wa nishati Subira Mgalu imejibu swali la Mbunge wa Kawe Halima Mdee aliyehoji Serikali imekwamia wapi katika mpango wa bomba la mafuta Mtwara lililotakiwa kuanza uzalishaji wa umeme nchini.
Kauli ya kwanza ya Sugu ‘Nilifungwa mwili ndani ya Magereza’