Leo May 25, 2018 tunayo story kuhusu Dk. Louis Shika ambaye ana trend katika mitandao na vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kupokea kwa Mabilioni ya Pesa zake kutoka nje ya nchi.
Sasa tunaye Mwanasheria, Leonard Manyama ambaye anatueleza Kisheria endapo Mtu akijitangaza ana Pesa nyingi na hali ya kuwa ni uongo anaweza kuhukumiwa kifungo cha miaka 3 ama faini ya Shilingi Milioni 5.