October 16, 2018 Naibu Katatibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo alikuwa mgeni rasmi katika kongamano la wadau wa sekta ya muhogo lililofanyika mkoani Dodoma kwa lengo la kuendeleza zao hilo kuwa la kibiashara ili kuendeleza uchumi wa nchi.
Katika hotuba yake Prof. Tumbo amekosoa tabia ya baadhi ya watanzania ambao wamekuwa wakisema kuwa watu wanaokula chakula chenye asili ya muhogo ni washamba.
Mbunge Lema amjibu Waziri Kangi Lugola