Kwenye pitapita zangu ndani ya Mwanza wakati naisubiria FIESTA 2017 Jumamosi ya September 23, nimeendelea kujionea vingine ambavyo sikuviona mara ya mwisho nimekuja Mwanza…. mojawapo ni hili daraja jipya la wavuka kwa miguu, hii video fupi hapa chini itakuonyesha pande zote.
KARIBU MWANZA: Jionee Kisiwa kiitwacho “SAA NANE“…. bonyeza play hapa chini kukitazama mwanzo mwisho