Usiku wa June 13 2016 jina la Rais wa zamani wa shirikisho la soka ulimwenguni FIFA Sepp Blatter lilirudi kwenye headlines, baada ya Rais huyo kutoa kauli ambayo inaeleza udanganyifu ambao unafanyika katika michuano ya Ulaya.
Blatter ameeleza kuwa kuna baadhi ya mashinda yanayoandaliwa na UEFA huwa yanafanya udanganyifu katika uchezeshaji wa droo za makundi ya michuano hiyo, licha ya kutotaja michuano iliyiwahi kufanya udanganyifu huo, Blatter alieleza kuwa vipira vinavyowekwa katika chungu utofautishwa kwa vingine kuwa vya moto na baridi.
Katika udanganyifu huo Blatter ameeleza kuwa kuna timu moja tu ndio haijawahi kunufaika na uongo huo, kama utakuwa unakumbuka vizuri Blatter aliwa Rais wa FIFA toka mwaka 1988 na alijiuzulu wadhifa huo 2015, baada ya kutuhumiwa kuhusika katika makosa kadhaa ikiwemo rushwa.
ALL GOALS: Yanga vs Al Ahly (Full Time 1-1) April 9 2016 CAF
https://youtu.be/VSM0_i0-DY0
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE