Spika wa Bunge Job Ndugai alisimama kujibu mwongozo wa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema aliyehoji kwanini hadi sasa ofisi ya Bunge haigharamii matibabu ya Tundu Lissu ikiwa Spika mwenyewe ametibiwa na ofisi alipokuwa akiumwa.
Zitto Kabwe VS Waziri Lukuvi Bungeni