Hii inatokea Bungeni Dodoma wakati wa kuhitimisha hoja katika Bajeti ya Wizara ya Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira iliyowasilishwa na Waziri wake January Makamba, zikaibuka hoja za Serikali kutokuwa na pesa za kutosha kujenga Mradi wa umeme wa mto Rufiji (Stiegler’s Gorge) na majibizano yakatokea kati ya Waziri wa Ardhi Willium Lukuvi na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe
Agizo la Prof Kabudi Bungeni leo