Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe ameishauri Serikali kuacha mara moja tabia za kuwaonea wananchi wakiwemo wafanya biashara wadogo kwa kuwatoza faini kubwa bila kuangalia mazingira ya kazi zao.
“Tunaweza tukanunua ndege, tukajenga barabara lakini kama kero zinazohusu maisha ya watu ya kila siku hatutokuwa wakali kuitaka Serikali ichukue hatua mapema sisi ndio tutaenda kunyooshewa vidole. Leo kwenye halsmashauri kila mtu ni mbabe, mtu ana kabiashara ka laki tano anapigwa faini ya Milioni mbili, hii sio sawa.” –Hussein Bashe
RC Gambo “Nilikuwa mpambe wa Lema mwanzoni mwa uchumba wake na Mkewe”