Mbunge wa Mbinga mjini Sixtus Mapunda amesema kuwa Mbunge wa Kawe Halima Mdee amelidanganya Bunge kwa kutoa taarifa za uongo kuhusu shirika la ndege la ATCL kuwa halina mfumo mzuri wa uendeshaji kibiashara.
Ushauri wa Halima Bulembo kwa Wapinzani “hawana hoja”