Usiku wa December 1. 2018 Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Patrobas Katambi alifanya ziara ya kushitukiza katika maeneo mbalimbali ya starehe katika Wilaya hiyo na kuwakamata baadhi ya watuhumiwa wa biashara ya ukahaba. “Ngono wanayofanya haina faida kwa Serikali kwakuwa hawalipi kodi na hata wakisema walipe kodi hatupo tayari kupokea kodi chafu”
RAIS Magufuli ‘Lowassa alikuwa Waziri wa Maji ila Mbunge saivi anaomba maji”