Kila tarehe 24, March 2016 dunia huadhimisha siku ya ugonjwa wa kifua kikuu, Siku hii ni maalum kwa ajili ya kuhamasisha watu kuhusu umuhimu wa kuendeleza mapambano dhidi ya ugonjwa huo katika jamii.
Jana 24, 2016 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu alikutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kuelezea kuhusu changamoto za ugonjwa huo.
‘Kifua kikuu ni ugonjwa unaoambukizwa na bakteria wanaojulikana kwa jina la Mycobacteria tuberculosis, vimelea vyake huenea kwa njia ya hewa na havichagui aina ya mtu pia hutoka kwa mgonjwa ambaye hajaanza matibabu na kuambukiza wengine‘ ;–Ummy Mwalimu
Kama ulimiss Manara akieleza walipofikia na Abdi Banda, lakini usishangae kuona Simba wameigomea TFF
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE