Mbunge wa Misungwi na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi Charles Kitwanga ni miongoni mwa wabunge waliopata nafasi ya kuchangia bajeti ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo Kitwanga miongoni mwa aliyozungumzia ni umuhimu wa nafasi za uongozi kwa watumishi wa serikali.
Kitwanga amesema …>>>“Bahati nzuri ukiwa msema kweli hata ukikaa pazuri watakuondoa tu na ukiwa unatenda haki kwa kila mtu hata kama unakaa Koromije watakuondoa tu wakupeleke Mtwara”
Kesi ya Uhujumu Uchumi ‘Ifikie mahali washtakiwa wajulikane wanafungwa ama lah” Hakimu