Jukwaa la wanawake jiji la tanga wamefanya kongamano Maalum la kumpongeza Mhe.Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kwa kuendelea kuwatumikia watanzania vyema .
Akifungua Kongamano hilo Mheshimiwa Ummy Mwalimu ambaye ni waziri wa afya na mbunge wa Jimbo la Tanga amesema kuwa ..”Kama wanawake tuna wajibu wa kusimama Kifua mbele na kumsemea Mhe.Rais kwa miradi mikubwa ya kimkakati ndani ya jiji la tanga inayochagiza uwepo wa Ajira kwa vijana na kina mama katika kukuza na kuwa kwamua kiuchumi miradi hiyo ambayo ni ya kimkakati ndani ya Mkoa wa tanga ni pamoja na Upanuzi wa bandari ya tanga”- Ummy Mwalimu