April 15 2016 tumeshuhudia mwanachama mpya Sudan kusini akijiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki, ikiwa ni miaka kadhaa imepita tangu marais waliokuwepo kipindi hicho walisaini itifaki ya kutumia sarafu moja kuanzia mwaka 2023 ambapo utekelezaji wake unaendelea.
millardayo.com ilipata nafasi ya kuzungumza na mmoja wa wabunge wa Afrika Mashariki anayewakilisha Tanzania, Abdalah Mwinyi ili kutaka kujua mchakato huu umefikia wapi na ameyazungumza haya……
>>>’ili nchi iwe na sarafu moja lazima kuwe na uchumi mmoja, kuna kigezo cha kwanza ambacho ni deni la Taifa na kuna viwango vya deni la Taifa ambalo nchi zote zinatakiwa zisivuke ili tuwe na soko moja, viwango vya mfumuko wa bei usizizdi 8%, lazima nchi iwe na reserve ya miezi minne na nusu ya fedha za kigeni kila nchi’ :-Abdalah Mwinyi
UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI KUJUA ZAIDI KINACHOISUBIRISHA SAFARU YA AFRIKA MASHARIKI
ULIIKOSA YA RAIS MAGUFULI ALIVYOTANGAZA KUTENGUA UKUU WA MKOA WA ANNE KILANGO MALECELA? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE