Baada ya kupita miaka zaidi 10 kutokuwa na Huduma ya Usafirishaji wa mizigo kupitia kwa njia ya Treni kwenda Uganda, June 24, 2018 Huduma imezinduliwa upya ambapo itatoa nafasi ya wafanyabishara kusafirisha mizigo yao kutoka Tanzania kwenda Uganda kwa njia ya reli kupitia Bandari ya Mwanza, Ahmed Msangi Kamanda wa Polisi Mwanza akarudia ile kauli ya “WATAPATA TABU SANA”
Usafirishaji wa mizigo kwa treni kwenda Uganda, umeanza rasmi bandari ya Mwanza South