Ni siku chache zimepita toka michuano ya Euro 2016 ianze na tushuhudie mchezo kati ya timu ya taifa ya England dhidi ya timu ya taifa ya Urusi ikimalizika kwa sare ya goli 1-1, katika mchezo huo vurugu zilitokea na mashabiki wa England waliripotiwa kupigwa na mashabiki wa Urusi.
Baada ya vurugu hizo serikali ya England imethibitisha kupeleka maafisa usalama wake katika mchezo wa pili wa England itakaocheza dhidi ya Wales June 16 2016, maamuzi hayo yanakuja saa chache baada ya Ufaransa kuwarudisha mashabiki 29 wa Urusi nchini kwao kufutia vurugu hizo.
Government confirms more British police officers being sent to France ahead of England’s game against Wales #SSNHQ https://t.co/axNqWfwqpw
— Sky Sports News HQ (@SkySportsNewsHQ) June 14, 2016
ALL GOALS: Yanga vs Al Ahly (Full Time 1-1) April 9 2016 CAF
https://youtu.be/VSM0_i0-DY0
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE