Kufuatia mauaji ya kinyama dhidi ya watoto wadogo yaliyotokea Kata Kyamlaile kijiji Mashule Mkuu wa wilaya Bukoba Deodatus Kinawilo ameagiza Kamanda wa Polisi wa Wilaya kuwasaka waliohusika na tukio hilo la mauaji.
DC Deodatus Kinawilo amemuagiza Mkuu wa Polisi wilaya Bukoba kuhakikisha polisi wanakaa katika kijiji hicho na avuruge Kijiji hicho hata Kijiji jirani ili kuhakikisha wahalifu wanapatikana na ikibidi watakaohisiwa wawekwe ndani.
UNYAMA: Watoto wa Familia moja wachinjwa, Baba mzazi aeleza alivyowavalisha