Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Magufuli tangu iingie madarakani ajenda kubwa imekuwa ni kubana matumizi ya serikali kwa kuondoa matumizi yasiyo ya lazima.
Kutokana na utendaji huo wengi wamekuwa na mitazamo tofauti, hapa Mbunge wa Tarime mjini Ester Matiko (CHADEMA) amelizungumzia hilo……..
>>>‘wapinzani tulikuwa tunapiga kelele sana dhidi ya ubadhirifu uliokuwa unaendelea Serikalini, sasa kinachonifurahisha kwa Rais Magufuli ni jinsi anavyochukua hatua‘
>>>’amenifurahisha kusimamisha utumiaji wa fedha za baadhi ya sherehe za kitaifa na kuziweka katika matumizi mengine kwahiyo mimi nampongeza kwa hilo lakini sio kwa kuziondoa sherehe hizo kwani ni kumbukumbu ya nchi yetu’ – Ester Matiko
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ULIKOSA SENTENSI ZA PROFESA TIBAIJUKA KUHUSU KUANZISHWA KWA MAHAKAMA YA MAFISADI? UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI