Klabu ya Manchester United bado ipo katika kinyang’anyiro cha kuwania Kombe la EUEFA Europa, kombe ambalo ni la pili kwa ukubwa barani Ulaya baada ya Kombe la Klabu Bingwa barani Ulaya, Man United usiku wa February 18 walikuwa wageni wa FC Midtjylland, walikubali kipigo cha goli 2-1. Magoli ya FC Midtjylland yalifungwa na Pione Sisto dakika ya 44 na Paul Onuachu dakika ya 77 wakati goli la pekee la Man United lilifungwa dakika ya 37 na Memphis Depay.
Kama ulikosa kuangalia mechi yenyewe mtu wangu hii ni sehemu ya mchezo wenyewe
https://youtu.be/vSZeH_fP9AU
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE