Antony Petro ni mtoto ambaye alitrend mwaka 2018 kwenye mitandao ya kijamii baada ya video yake kusambaa akiwa polisi akimshtaki baba yake asiuze Shamba la familia kwa kuwa walikuwa wakilitegenea
Baada ya hapo alijitokeza mfadhili ambaye aliamua kumsomesha kuanzia darass la kwanza ambapo hivi sasa anasoma darasa la sita huku mwakani 2024 akitarajia kuhitimu darasa la saba.
Mtoto huyo kwa sasa anafahamu vitu vingi ikiwemo kuzungumza kiingerezan pamoja nakutambua kambo mbalimbali,Antony kakaa kwenye Exclusive Interview na Ayo TV na kakubali kutueleza mambo mengi.