Innocent Nyange na Gokeys Dokeys ni wanandoa walifunga ndoa mwaka 2019 mwezi wa kumi na wamezua gumzo kutokana na umri wao ambapo mama aliyeolewa anaumri wa miaka 62 ambao ni mara mbili ya umri wa kijana aliyemuoa mwenye umri wa miaka 24 tu huku ukiwa ni umri mdogo kuliko mtoto wa kwanza wa huyo mama mwenye miaka 30.
Hata hivyo Innocent amedai hajampendea Gokeys kwa sababu ya hela kwani hana hela kama watu wanavyofikiria.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO WAKIFUNGUKA.
VIDEO: TAZAMA MAHOJIANO YA G NAKO NA MSANII WA NIGERIA DANNY DREAMS WAKIONGELEA KOLABO YAO