Mfahamu Yuster Sanga ambaye ana ulemavu wa kusikia aliyeibuka mshindi kwa kuongoza somo la hisabati katika shindano la umahiri kwa vijana wanaoshughulikia ufundishaji lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) kupitia shule kuu ya elimu.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati wa utoaji tuzo kwa wanafunzi waliofanya vizuri, Kaimu Makamu Mkuu wa chuo hico anayeshughulikia utafiti, Nelson Boniface amesema faida ya shindano hilo ni kuwapima uwezo kwa wanafunzi.
“Ni shindano la kwanza katika chuo chetu na tumeshirikiana na chuo cha Zhehang Normal kutoka nchini China, ambacho wao wanayafanya
Mashindano haya yamekuwa kwa mwaka wa 8 sasa na yamekuwa yakihusisha masomo ya hisabati, Kiswahili, Biologia, Geographia na Physical ambapo binti mwenye uhitaji maalumu amekuwa kidedea kupitia somo la hisabati.