April 4, 2019 Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge imependekeza Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kusimamishwa na kutohudhuria mikutano mitatu ya Bunge kuanzia leo kwa kosa la kuunga mkono kauli iliyotolewa na CAG kwamba Bunge ni dhaifu.
MGOMBEA URAIS TLS KAJA NA MENGINE MAPYA “SHERIA HIZI ZIBADILISHWE”