Headline za mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea hivi sasa ikiwemo Dar es salaam zimefika hadi Bungeni Dodoma ambapo Mbunge wa Temeke Abdallah Mtolea aliyehoji Serikali ina mpango gani wa kudhibiti hali hiyo. Hapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akaagiza watu wote wanaoishi katika maeneo ya mabondeni kuhama mara moja.
Alikiba aeleza sababu za kufunga ndoa siku ya April 19