Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipata huko.
#MTANZANIA ATCL imetoa ofa ya mwezi mmoja kwa abiria watakaosafiri kutoka DSM kwenda Mwanza kwa kulipa nauli ya 160,000 kwa safari moja pic.twitter.com/WpX5VEWdql
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#MTANZANIA Msiba wa Masaburi wawakutanisha JK na Lowassa, ni baada ya kuachana kwa mwaka mmoja wakiwa CCM. pic.twitter.com/r48vEf3rNt
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#NIPASHE JK, Lowassa wakutana kwa mara ya kwanza na kushikana mikono tangu walipopishana kimtazamo miezi mitatu kabla ya uchaguzi mkuu 2015 pic.twitter.com/5TlF6zqclv
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#MTANZANIA 13 wakiwamo wanne wa familia moja wakazi wa kijiji cha Iringa Mvumi, Chamwino wamefikishwa mahakamani kwa kuwaua watafiti Dodoma pic.twitter.com/M64ZEj58W2
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#NIPASHE Mahakama Moro imempandisha kizimbani mkurugenzi wa halmashauri ya Mkinga, Mkumbo kwa tuhuma za kutishia kumuua trafiki kwa bastola pic.twitter.com/w0yR3xlFQu
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#NIPASHE Wajawazito hospitali ya rufani Simiyu wadaiwa kwenda na dawa za kienyeji kwa siri, lengo ni kuongeza uchungu ili kujifungua mapema pic.twitter.com/nPrqPT8xYk
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#JamboLEO vifo vya watu 200,000 hadi 450,000 kati ya mil 1 kutokana na malaria ktk nchi zinazoendelea hutokana na matumizi ya dawa bandia pic.twitter.com/En8VCZDhKG
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#JamboLEO Makamu wa Rais, Samia Suluhu amesema Serikali imetenga Bil 70 za kununua dawa na vifaatiba ili kumaliza tatizo la ukosefu wa dawa pic.twitter.com/WFfbL9UJV8
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#JamboLEO Raia wa China na India wapandishwa kizimbani Kisutu DSM kwa tuhuma za kukutwa na zana za uvuvi haramu zenye thamani ya bil 23 pic.twitter.com/4zwCv1VrO0
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#MWANANCHI Makamu wa Rais, Samia Suluhu amesema Serikali inatumia bil 900 kati ya trilioni 1.33 inazokusanya kila mwezi, kulipa madeni pic.twitter.com/Hq1g5QN8sR
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#MWANANCHI Mahakama Dom yawaachia huru wanafunzi vyuo vikuu 7 'wanachama wa CHASO' waliokuwa wakishtakiwa kwa kosa la kuandamana bila kibali pic.twitter.com/q3mFmnwAfA
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#MWANANCHI Mbunge wa Makete Prof Sigalla adaiwa kupokea mishahara mitano ya ukuu wa wilaya baada ya kuacha kazi hiyo wakati wa uchaguzi mkuu pic.twitter.com/GhZlB0YUB5
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#MWANANCHI Mauzo soko la hisa DSM yaporomoka, ripoti ya wiki yabainisha kushuka mauzo kwa 91% huku idad ya hisa zilizouzwa zikishuka kwa 94% pic.twitter.com/48OnOR1n2J

#MWANANCHI Uandikishaji vitambulisho vya Taifa wadorora Mwnza hadi Oct 15 ni 10,684 walioandikishwa kati ya 30431 ilitakiwa kukamilika jana pic.twitter.com/78deys0YSg
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#NIPASHE Mbunge Same Mashariki Naghenjwa Kaboyoka 'CHADEMA' achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya kamati ya kudumu ya bunge ya hesabu za serikali pic.twitter.com/8RkHc1hiba
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#NIPASHE Serikali imeshauriwa kutumia mazao ya kilimo na kuacha kusafirisha nje ili viwanda vya ndani viweze kujitegemea kiuchumi pic.twitter.com/4H6IU6KSOD
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#TanzaniaDAIMA Hatima ya maombi ya Mbowe kurudishiwa jengo la Billcanas baada ya kuondolewa na NHC kwa kudaiwa bil 1.3 kujulikana leoq pic.twitter.com/53yMuMebbt
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
#TanzaniaDAIMA Nyota wa simba, Shiza Kichuya amesema anapenda kushangilia mbele ya bango la Mafisango kwa sababu alikuwa akimkubali sana pic.twitter.com/GTlSONw3vW
— millardayo (@millardayo) October 18, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV OCTOBER 18 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI